Kuna kitu kinaitwa Attachment Anxiety.
Ukiona hajajibu message — una panic.
Ukiona yuko online — una overthink.
Ukiona yuko kimya — unaumia.
Hayo yote sio kwasababu unampenda sana .
Ni unaogopa kuachwa tu .
@EsirEid@EsirEid Tajiri naomba msaada wako mimi najishughulisha na kurusha muvi, nimeharibikiwa na hard disk ya telabaiti 20 apa nimechanganyikiwa sielewi napata wapi hela mzigo wote uliokuwa kwenye komputa umepotea naomba msaada wako
𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬
#TotalEnergiesCAFCL
AS Far🆚Young Africans SC
07.02.2026 | 20H00🇲🇦 | 22H00🇹🇿
"Tunawajua wapinzani wetu wana timu nzuri ambayo wanaweza kucheza katika mazingira tofauti ya kimbinu. Tumejiandaa kuwakabili kwa namna yoyote ambayo watakuja nayo.
Hakuna timu bora ambayo haina madhaifu, tutatumia madhaifu yao kupata matokeo. Tuna timu bora ya kupata matokeo katika mazingira magumu" Coach Pedro
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko