@BrofessorAfrika @millardayo Muumba mbingu na nchi ingilia kati bila kujali dhambi za kila mmoja kwa neema yako tu ili uokoe maisha ya viumbe vyako.amen
Kaimu Mkurugenzi Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Kanda ya Kati Dr. Haruna Chawala na Mkewe Neema Mwasanganga wamefariki baada ya gari lao kusombwa na maji eneo la daraja la Shaaban Robert Mpwapwa, Dodoma, Dr. Chawala alikuwa anampeleka Mkewe kazini kwenye Hospitali ya Wilaya. #RIP🙏🏿