@diamondplatnumz
Miaka ya hivi karibuni amekuwa na mahesabu makubwa katika kutoa kazi zake na kujua nini mashabiki wanataka ,Anaanza na nyimbo zisizokuwa na uwandishi wa maana ili watu waongee kaishiwa mfano #chitaki kisha anakuja kuachia dude la kwenda kama #yatapita
@burnaboy “For My Hand” ft. @EdSheeran is now eligible for Platinum 💿certification in Netherlands 🇳🇱
(80k units sold) [17.2 million equivalent streams]
@heisrema “Calm Down” ranks at No.3 on Netherlands 🇳🇱 Year End Chart, 2022.
—CD is the highest ranking African song ever on the Dutch end of year chart
@taylorswift13 is officially the first artist in @billboardcharts history to top the #Artist100 chart dated in eight separate years as she extends her record run atop the chart with a 59th total week at No. 1 on the latest Jan. 7-dated list...!
#MusicAwards
@JColeNC cleared his Instagram just a few moments ago. Y’all think he’s getting ready to drop new music?
Rapa @JColeNC ameondoa Picha Zake Zote kwenye akaunti Yake Ya Instagram, hii imeleta maswali na hisia kwa mashabiki zake kuwa inawezekana yupo mbioni kuachia kazi mpya...!
@rapcha_tz#Storynyingine hiki ndicho tulichokuwa tunasubiri muda mrefu kwenye bongo hip hop....! Ifike wakati njaa isifanye wasanii kuwa waogope na kujikombakomba ,
😎
@rapcha_tz u did it bruh mitaa inajua nani ni nani na sio nani alitajwa na nani...!
@OfficialAliKiba#KING tokea Tanzania atoa neno..!
"Maneno pekee hayatoshi kuelezea namna ambavyo 2022 umekua mwaka wa kheri, Tanga Asanteni kwa upendo, 31/Dec was a true celebration. Only One King Tour/ Funga Mwaka na King Kiba 2022 has been a success forever Grateful. "
@rugerofficial And again, just like last year, I’ve got the first number 1 song in the country this year 🤯. Thank you Lord, Thank you my dear streaming fans Mcheeeeeeeewwwww. 2023, we go harder I promise you ❤️..
#SongOfTheYear#asiwaju#Nigerians#Musica
@heisrema’s “Calm Down” (@selenagomez) charts 5x #1 on Apple Music;
#1 Bahrain 🇧🇭
#1 Maldives 🇲🇻
#1 Oman 🇴🇲
#1 Sri Lanka 🇱🇰
#1 UAE 🇦🇪
—It becomes the first song to chart No.1 in the countries in 2023.
@burnaboy#LastLast has been ranked the #1 best Afrobeats song of 2022 by #RollingStone!👏🥇🌍🎶2⃣0⃣2⃣2⃣👑💚
Nyimbo ya #lastlast ya msanii @burnaboy tokea nchini nigeria imeweza kushika No #1 kwenye chati ya best Afrobeats song 2022 kutoka jarida la @RollingStone nchini Marekani
@burnaboy#LastLast has been ranked the #1 best Afrobeats song of 2022 by @RollingStone!👏🥇🌍🎶2⃣0⃣2⃣2⃣👑💚
Nyimbo ya #lastlast ya msanii @burnaboy tokea nchini nigeria imeweza kushika No 1 kwenye list ya Afrobeats 2022 kwenye list ya jarida la @RollingStone
@ckay_yo was the #1 most booked African artist in 2022. 🤯
— 41 festivals (12 headline)
— 24 personal shows
— 15+ international club gigs
— Over 24 countries.
Msanii @ckay_yo tokea nigeria amekuwa msanii aliyetokea kwenye matamasha mengi 2022