🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
❌ TSh 294,320 kila mwezi
❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
If Spain win the World Cup, Lamine Yamal could win the Ballon d’Or.
If France win it, Mbappe could win the Ballon d’Or.
If Argentina win it, Alvarez could win the Ballon d’Or.
If England win it, Bellingham could win the Ballon d’Or.
If Portugal win it, Vitinha could win the Ballon d’Or.
If Germany win it, Musiala could win the Ballon d’Or.
If Brazil win it, Vinicius jr could win the Ballon d’Or.
Sidhani kama kuna Trader mkubwa bongo hanijui ama simjui
Najua kila Trader anaeMake profit na asiemake profit, off course wengi wanakula vitasa
Game hiyo ngumu haswa ukiweza Give up mapema. Ila kama inakupa mchuzi ishi nayo, wapo inaowapa mchuzi ila pengine ni 1%✅
Kingine kuna opportunities nyingi ndani ya hiyo GAME ni vyema ukaFocus na Financial markets kiujumla(zielewe commodities, hisa, cryptos,etc). Ukawa unashare views zako za market mtandaoni utalipwa as affiliate, influencer nk nje ya market. Ni kitu itakupa consistent income kuliko kukesha kwa charts.
Mimi FX iliponishinda niligeuka kuwa Agent (nawasaidia Traders wanaochoma kudeposit na Traders wanaopata faida kuWithdraw) napiga margin kwa kila $. Naishi.
My Take: Usivumilie kama GAME ngumu, GIVE UP haraka sana umri haukusubiri.
You need 3 wins every day:
A physical win - Walk, run, lift, swim.
A mental win - Read, write, learn, create.
A spiritual win - Pray, reflect, meditate, grow.
Washkaji katika haya maisha small wins zina matter sana while u r working on yourself.
Zinakuaga a confidence booster plus composure.
Ukinunua toothbrush mpya,a new cloth,new sneakers, boxer mpya.
Celebrate this wins na utaona ukiattract bigger things.Abudance mentality👊🏽