@eastafricatv#Mjadala Itasaidia sana kutatua changamoto za ukatili wa kijinsia zinazowakabili si wanafunzi tu bali pia na wakufunzi vyuoni ikiwemo vitisho vya masomo na kuhofia usalama. Wanafunzi pia wawe makini sana wasiwe chanzo cha ukatili huu.
@brendabbylo UDSM
Hello! My name is BRENDA THOMAS and I am excited to be selected by UN Chapter at UDSM (@udsm_un_chapter) and U-Report Tanzania (@ureporttanzania) to become a U-Report University Ambassador at UDSM.
Do you want to know more about U-Report and UN Chapter at UDSM?
👏Pongezi kwa viongozi wateule rasmi leo kuendeleza mapambano dhidi ya RUSHWA VYUONI hadi ngazi ya mkoa... UCHAGUZI UMEPATA MSHINDI AMBAYE NI M/KIT BWN ATHUMAN ISMAIL pamoja na makamu, katibu, mhazini pamoja na Afisa habari pamoja na wasaidizi wao...
KAZI IENDELEE 💪