Extra Time kipindi bomba cha kispoti ndani ya redio County FM kimo hewani toka saba saa hadi kumi tuchambue michezo yote ulimwenguni.
Jumuika nami Midfielder Brio and Mbunga Nicholas tutambe Sete kupitia ujumbe mfupi 22903..
#Karibu
ELDORET CITY MARATHON 2020 POSTPONED INDEFINITELY
The third edition of the Eldoret City Marathon, which was to be held on 19th April 2020, was on 7th April postponed indefinitely due to the prevailing coronavirus pandemic.
https://t.co/FIZsIKi9B5
Extra Time tutambe kispoti sasa hadi saa kumi kote ulimwenguni ndani ya redio bomba kimichezo County FM ukiwa nami Rubani Midfielder Brio .
Uko wapi twende sete kupitia 22903.
#ExtraTimenaBrio
Extra Time show murua ya kispoti inatamba kwenye County FM toka saba hadi kumi jioni tuchambue na kuangazia michezo yoote ukiwa nami Midfielder Brio na J"Lo .
Twende sete pitia 22903,uko wapi ? Leta maoni,swali na pia utupe uhondo wa spoti hapo kijijini.
#Extratime
@CountyfmRadio Nani anaponyoka na pointi tatu na kutulia kwenye jedwali la Premier Uingereza kati ya Chelsea na Liverpool.
#Midfielder Brio,Pop, Mutisya na Geoffrey tukupe uhondo usio kifani.
Leta ubashiri wako kupitia 22903 Twende Sete..
Nani anaponyoka na pointi tatu na kutulia kwenye jedwali la Premier Uingereza kati ya Chelsea na Liverpool
Leta ubashiri wako kupitia 22903 na utulie tuli kwenye mitambo 90.3,89.2,89.5,91.8 na https://t.co/AVakx8PiXK Twende Sete..
Nani atanawiri Kati ya Nigeria dhidi ya Cameroon moja kwa moja pitia Redio County FM.
Leta ubashiri wako kupitia 22903 kisha usikize 90.3,89.2,89.5,91.8 na mtandaoni https://t.co/AVakx8PiXK.
#AFCON # Brio# Kiungo