Tuna umri mdogo lakini ukituona ni kama tumezeeka, kwasababu tulipewa kitambaa cha unahodha kitambo ili kuendesha TIMU kubwa ambayo haipaswi kushuka daraja kwa gharama yoyote...!
Utajiri unaotafuta kila siku unaweza usiwe kwenye kile unachofanya eti tu unapenda muda mwingine inabidi ubadilike, mfano tathimini muda gani utachukua kutengeneza billions of money. Kauli za nafanya nachopenda hazitokupa mafanikio, fanya kinachokupa matokeo na sio unachokipenda