@AmEmbTZ Hii ndio shida yenu wazungu haki za binadamu mnaziona kwa wengine ila kwenu hamzioni anayouafanya rais wenu ni sawa lakini kwa wengine ni kukiuka haki za binadamu "msemo ule wa kiswahili nyani haoni kundule unadhibitika hapa" watanzania huongozwi na USA