Ombi Langu Kwa BOT
Benki Zote Ziwekewe Sheria Kwamba Ni LAZIMA Kuonyesha Makato/Gharama Zote Kwa Mteja Kabla Mteja Hajaamua Kufanya Muamala
Kama Ambavyo Miamala Ya Simu Unaona Makato KABLA Hujaizinisha Malipo Ndivyo Hivyo Na Benki Zote Ziwe
Mteja Asifichwe Makato Ya Fedha Zake
Dunia hii kuna vitu vingi sana na tamaa za aina mbali mbali lakini mwisho wa tamaa zote tunaishia kwenye upendo yani chochote unacho kitamani mwisho wa siku inaishia ni kwasababu ulikipenda kwa hyo mwisho wa mambo yote ni upendo haijalish ulitaman vizur ama ulitaman vibaya