MABANGO: Kila mtanzania lazima aandamane. Watu wamechoka. Mwambie mwenzio na mwenzio naye amwambie mwenzie kuhusu hii siku muhimu. Jeshi, JWTZ, wameahidi kuwalinda waajiri wao ambao ni sisi wananchi. Oktoba 29 ni MAANDAMANO.
Tulikuwa tunaimba mwamba tuvushe mwamba tuvushe ๐๐๐ kumbe mwamba alikuwa anajivusha aseee .anapiga ela zake akija kwenye camera anasema kunja ngumi
#DearNyerere majitu MANYONYAJI yanasema watu KUPOTEA ni michezo ya tangu zamani ila hawataki kutauambia michezo hiyo inachezwaje?
Na kwanini inachezwa na wakosoaji wa serikali tuu?
Donโt forget to get a copy of my son Ericโs book, โUNDER SIEGE,โ which is breaking records everywhere. Itโs a phenomenal book, thatโs a must read for everyoneโCongratulations Eric, you deserve it!!! https://t.co/na0jBJ1nxp
Bado kitambo kidogo sana nchi yetu itarudi mikononi mwa wenye Mamlaka yote ambao ni wananchi.
Tusirudi nyuma, tusiogope, hatma ya nchi yetu iko mikononi mwetu.
Hapo mtu ana RISASI moja bado kwenye nyonga yake anatembea nayo kila siku.
Hapo amepona KIFO CHA RISASI 16.
Sasa wanamtafutia kosa la UHAINI wamnyonge mpaka KUFA. Huku akiwa magereza zaidi ya siku 190.
Mh. LISSU kashafanya kwa nafasi yake, ni wakati wa watanzania kumaliza kazi.
Sisi kazi yetu ni moja 29.10 kukomboa nchi. Utakuwa ni USALITI MKUBWA kwake tukishindwa kufanya KAZI ya kukomboa TAIFA hiyo siku.
TUTAKUWEPO๐ซต๐