@neemalugangira pole na majukumu muheshimiwa naomba ikikupendeza fika kijiji cha mbuguni na kata ya shambarai ..ndugu muheshimiwa utalia barabara ni mbaya kituo cha afya huduma ni mbaya inamlazimu mwana kijiji akapate huduma mererani au tengeru ilhali pana kituo cha afya pale japo madiwani wapo
Sina kikundi chochote wala kikoba wala michezo na sijawahi kuwa na hivyo vitu kabisa hii sehemu ninayofanyia biashara kumbe wana kikundi chao cha wafanyabiashara na ni lazima uingie kujiunga nao nimechanganyikiwa hata sijui nafanyaje na mimi nilikua sitaki kabisa hayo mambo 😔
Kama ni middle au low income Tanzanian ni nfumu sana kukwepa 90% ya hivyo vyakula,kupata chakula natural au fresh feom shamba ni gharama sana
Nb: kwa anae ishi mjini
Safi kabisa.
Uchawi ni Calorie deficit tu.
Foods za ku-avoid ili kupata calorie deficit kiurahisi;
-Soda
-Bia
-Wali
-Ugali
-Chapati (na nduguze, watokanao na ngano i.e maandazi)
-Chips
-Mkate
-Maziwa