@Methodyrn_arts @Brother_0101 Hakuna kitu hapo pointless ma professor wangapi wanalewa na wanamaisha watu wako mgodidini wanafanya mpk tumizi la 20M per day still wamefanikiwa na Kuna watu wanasali hatumii kilevi bado ni masikini wakutupa ww ongeza mapambano na mifumo yako acha kulia na vilevi