Upasuaji umeanza kufanyika katika Hospital ya Kakobe. Mama Esther Constantine miaka 24 kutokea Mbugani ambae ni nzao yake ya kwanza. Alikuwa na uzazi pingamizi. Jana saa 11jioni alifanyiwa upasuaji na kupata mtoto wa kike. Mama na mtoto wanaendelea vizuri.
HONGERENI SANA BUCHOSA.
"Wakati @MagufuliJP anaingia madarakani tunaambiwa Tembo wa Tanzania walibaki 15,000 leo tuna Tembo 60,000, kwa utawala wake mpaka Tembo wanaanza kuzaana bila utaratibu huwezi ukasema John Magufuli hajafanya kazi"- Josephat Gwajima
#Bungeni
Msimu wa Sikukuu Cheza Pesa ndiyo mchezo pekee Tanzania unaokupa ushindi wa Mamilioni kwa haraka.
Una nafasi ya kushinda MIL 7.5 - MIL 30.
Tuma dau kati ya sh 500-2000 kwenda namba ya kampuni 551551 kumbukumbu namba weka namba zako 5 za ushindi, mfano; 12345
@chezapesatz
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa, kufikia Novemba 20 saa nne asubuhi wawe wamepewa sababu ya bei kupanda na wenye Viwanda na Mawakala wa Saruji ilhali Serikali haijaongeza kodi
Dodoma
Office building-IKULU Chamwino
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo.
โRekodi ya Sumaye itaendelea kuwepo ya kuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10, aliyemkaribia alikuwa Pinda (Mtani wangu) alipiga radi Kikwete akawa haoni kitu, Waziri Mkuu kafanye kazi, na wale mnaompongeza kuwa amepata miaka mitano mingine mnamuonea tu,hakuna Guarantee." JPM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia hotuba za viongozi mbalimbali mara baada ya kumuapisha Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) pamoja na Mawaziri wawili katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
Rais Dkt. John Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri wa Fedha na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma Leo.
"Siku ile nilivyokuwa nimeapa, akaniandikia meseji, nakushukuru umeapa vizuri sikumjibu, nilitaka ajue kwamba siyo yeye, hakunipigia tena, na ndiyo maana nilipomteua wakati machozi yanatoka toka na mimi nilikuwa nalengwa machozi kwamba unastahili"- @MagufuliJP#UapishoIkulu
โWaziri mkuu alikuwa boss wangu namfahamu vizuri ni mtendaji mzuri na ni muadilifu na sina shaka yoyote kwamba nafasi hii umeendelea kuistahili na nampongeza Mh Raisi kwa kuliona hiloโ - Hussen Mwinyi, Rais wa Zanzibar, @DrHmwinyi@ccm_zanzibar@ccm_tanzania@MagufuliJP
Leo Novemba 02, Rais mteule wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi (kulia) anatarajiwa kuapishwa na kuwa Rais wa awamu ya nane wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
DKT. MAGUFULI ATANGAZWA MSHINDI WA URAIS TANZANIA
Mwenyekiti wa NEC, Jaji Kaijage amemtangaza Dkt. Magufuli (CCM) kuwa ni mshindi wa Urais wa JMT kwa kura Magufuli 12,516,252 akifuatiwa na Tundu Lissu (CHADEMA) kwa kura 1,933,271.
#TZ2020#Uchaguzi2020
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kibamba amemtangaza Jumanne Mtemvu wa CCM kuwa mshindi wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 54,496 akifuatiwa na Ernest Stanley (CHADEMA) aliyepata kura 19,744.
#MATOKEO YA AWALI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NGAZI YA JIMBO.
JIMBO LA TEMEKE, DAR ES SALAAM
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CCM - KURA 324,310.
BW. TUNDU ANTIPHAS LISSU, CHADEMA - KURA 24,120.
#UCHAGUZIMKUU2020#GlobalPublishersUpdates
MATOKEO YA AWALI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NGAZI YA JIMBO.
JIMBO LA NDANDA, MTWARA.
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CCM - KURA 28,492.
BW. TUNDU ANTIPHAS LISSU, CHADEMA - KURA 9,014.
#UCHAGUZIMKUU2020#GlobalPublishersUpdates
#MATOKEO YA AWALI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NGAZI YA JIMBO.
JIMBO LA KINONDONI, DAR ES SALAAM
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CCM - KURA 172,391.
BW. TUNDU ANTIPHAS LISSU, CHADEMA - KURA 18,752.
#UCHAGUZIMKUU2020#GlobalPublishersUpdates
MATOKEO YA AWALI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NGAZI YA JIMBO.
JIMBO LA SEGEREA, DAR ES SALAAM
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CCM - KURA 88,099.
BW. TUNDU ANTIPHAS LISSU, CHADEMA - KURA 26,151.
#UCHAGUZIMKUU2020#GlobalPublishersUpdates