Afya ya Rais ni suala la umma. Kikwete alipotibiwa tezi dume Marekani tuliambiwa. Mkapa alipotibiwa nyonga Uswisi tulijulishwa. Baba wa Taifa alipougua saratani ya damu London hatukufichwa. Kwa nini kuna kigugumizi juu ya afya ya Rais Magufuli? Au ndio kila zama na kitabu chake?
Ni asubuhi iliyo njema kabisa, Namshukuru sana Mungu wa mbinguni kwa kunipa afya njema maana wapo waliyotamani kuiona siku ya leo hawakuio.Sifa na tukufu vina yeye Amina.
Ktk Maandiko Matakatifu kuna sehemu mbalimbali zinaonesha sifa za wanawake ni pamoja na kuiishi nao kwa akili ikiwa ina maana kuongea nao kwa upole maana ni wadhafu.
Mifano mingi imetolewa kwao ikionesha kwamba ni kiumbe chenye kugeukana.Nawatakia kazi njema wabunge waliochaguliw
"Mnataka rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana,lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka" @jmkikwete
Kweli hawaelewi na hawafundishiki?? Tatizo litakuwa la wanafunzi wenyewe au mazingira ya kujifunzia au zana zilizotumika kufundishia hazikidhi vigezo au mwl mbinu alizotumia haziendani na umri au zimepitwa na wakati.Ili waelewe lazima somo lirudiwe kwa mbinu nyingine.
"Mimi Nimekaa chama cha upinzani kwa miaka mitano na mjue kabisa mimi ni mwalimu wa maswala ya uongozi na siasa, lakini nawaambia wale watu hawaelewi na hawafundishiki" Fredrick Sumaye
#Uchaguzi2020
Gari ya mgombea ubunge (Chadema) jimbo la Bunda Mjini @esteramosbulaya baada ya kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM eneo la Nyasura. Ester Bulaya yupo salama na hakupata majeraha yoyote. Leo kampeni zake zitaendelea kama kawaida, atakuwa Balili kunadi sera zake.
Binadamu kiasili ameumbwa na uchoyo,ubinafsi,ndo maana viongozi waliowengi wakiishaingia madarakani hawataki kutoka,kwa baadhi ya nchi mfumo yao ya utawala ipo limited,wengi hudiriki kuibadilisha ili waendelee kuwa kwenye utawala.
Jeshi la Polisi Shinyanga usiku huu limevamia Lodge walipofikia Waandishi wa Habari walio kwenye msafara wa mgombea nafasi ya Makamu wa Rais @salummwalimtz na kuanza kuwapekua kabla ya kupekua vyumba, mabegi na magari ya Msafara huo.
Walipoulizwa hawakusema wanachokitafuta.
Ndg watanzania niwaombe tareahe ya 28.10.2020 tujitokeze kwa wingi tukapige kura kuwachagua viongozi wa kutupeleka mbele.Usichague kwa ushabeiki wa vyama bali tuchague mtu atakaekuletea maendeleo ya kweli.
Hizi sio kauli nzuri hata kidogo zinaashiria kuna jambo limeishaandaliwa.Mungu wewe ndo mwenye haki tunaomba usimame ktika uchunguzi huu 2020 hili haki itende.