Father and servant of my family. Human shortcomings should not be a reason to degrade one's dignity. I live by the mercy of Allah. Justice exalts the lowly.
Uislamu unafundisha kuwatii Watawala na kuwanasihi faragha.
Uislamu haufundishi Waislamu kuwa chawa wa watawala.
Na kumtii mtawala haimaanishi unakubaliana naye kwa uovu wake au vinginevyo.
Kumbuka: muongozo wowote nje ya Qur'an na Sunnah ni upotevu!
Allah Mtukufu anasema:
ููููููู ููุงุดูุฑูุจูู ููููุฑููู ุนูููููุง
โBasi zile hizo tende mbivu na unywe maji na ujifurahishe [tuliza macho yako] kwa huyo mtoto mwenye kuzaliwa.โ
[Surah Maryam: 19:26]
1. Kukosekana kwa adabu za kukhitilafiana katika masuala ya tanzu za kifiqhi
2. Uchaguzi mbovu wa kauli na namna ya kujibu hoja za watu
3. Kutofuata adabu za kufanya mijadala na nasaha
4. Kuwavika waislamu aya zilizoteremka makhsusi kwa ajili ya makafiri
5. Watu kuwa na msimamo ya kwamba kunapokuwa na ikhtilafu lazima iwe ni kati ya haqq na baatwil