@anuskills3 Sio simba na yanga ni serikali ya mama yenu haikamilishi miundombinu ya viwanja kila bada ya miez sita matengenezo ya miezi sita๐๐๐
@anuskills3 Matatizo ya kuwadharau wachezaji wa mdani yanaanziaga kwa viongozi utambulisho na media za club husika kutowapendelea ndo maana mwamnyeto alifanya kosa la kawaida tu ila wakampiga mawe na matusi juu
Simba hatimae ukame wa makombe umekata baada ya miaka minne bila kombe.
Kombe zuri mno kwa nini wasilifanye kua kombe la ligi kuliko yale mabati alio beba yanga?