Watu wengi wanatafuta pesa. Lakini hawajui zinatoka wapi.
Ndani ya THE INTERNET ATM, nimeonyesha framework moja rahisi ambayo imebadilisha namna ninavyo iona internet.
"TIME β SKILL β ASSET β TRUST β INCOME β MORE ASSETS β FREEDOM"
Watu wengi huanza kutafuta INCOME.
Lakini uhalisia ni kwamba... Kipato ni matokeo tu.
Ukianza na muda wako, ukajenga skill, ukaigeuza kuwa asset, ukatengeneza trust...
Kipato huanza kukufuata.
Na hapo ndipo Internet inaanza kufanya kazi kama ATM yako.
Hii ni moja tu ya framework utakazokutana nazo ndani ya kitabu changu.
Pata copy yako hapa ππ½
https://t.co/smuiNKXQN1