Hata mwanamke awe na utamu kiasi gani kamwe siwezi toa ng'ombe 30 na million 30
Aziz Ki ni moja wa wanaume dhaifu hapa Tanzania au ni kwakuwa ni mgeni wa Jiji? Nasoma Comment 😭😂
WANAUME WALIOMFAIDI H. MOBETO
Kwenye kila ukuaji wa mwanamke lazima atapitia mahusiano tofauti tofauti, Haya ndio mahusiano aliyopitia Hamisa Mobeto.
1. Majizo.
2. Diamond Platnumz.
3. Ommy Dimpoz.
4. Kelvin.
5. Joshua Adeyeye.
6. Fobby.
7. Aziz Ki.
8. Fred Vinjabei.
9. Alikiba.
10. Hamis Salehe.
Ongeza mwingine unayemjua_______________________