Laiti Dunia nzima tungekuwa tunatumia lugha moja, ule wimbo wa Dizasta -Kanisa ungewafungua sana watu duniani kuhusu ukweli wa kanisa la leo.
Kitu alichowasilisha Dizasta kwenye ule wimbo ndiyo leo Kanye west anakionyesha kwenye kideo chake cha βFather ft Travisβ
KANISAππ€π€
@EduTalkTz Hata ungekuwa wewe ndugu mwandishi unaweza kataa kitabu chako kiigizwe, Bongo movie uwasilishaji wa story uko chini sana.
Iwe Production ya maana kuendana na simulizi ya kitabu husika