Bado nawaza huyu jamaa kwanini alikuwa anamrekodi na kama alikuwa anamrekodi kwanini azivujishe yaani nawaza lakini sipati majibu kamili yaani dogo ame risk akampelekea kidude muuni kaamua kukiweka adhani yaani jamaa kazingua sana kwa upande wangu
Kocha mpya wa Yanga SC, Fadlu Davids, anatajwa kuikosa hatua ya makundi ya CAF Champions League kutokana na FIFA kushikilia leseni yake. Inadaiwa Simba SC imeandika barua ya malalamiko FIFA ikidai aliondoka kinyume na sheria kwa kuvunja mkataba.
#FOLLOWERS#XLOV#SIMBA#YANGA��
ALILIPWA MISHAHARA KWA MIAKA 20 BILA KUCHEZA MECHI HATA MOJA! 😳
Bado hunaona na kusikia kila kitu unaambiwa Katika historia ya soka duniani, simulizi ya Mbrazil Carlos Kaiser (Carlos Henrique Raposo) ni miongoni mwa visa vya kushangaza zaidi. Kwa zaidi ya miaka 20
BINTI LUCY AFARIKI CHUMBANI AKIWA NA MPENZI WAKE, ARUSHA
Binti anayefahamika kwa jina la Lucy amefariki dunia akiwa chumbani na mpenzi wake, katika tukio lililotokea mtaa wa Olasiti, mkoani Arusha.
Chanzo cha tukio
Taarifa za awali zinadai kuwa Lucy alipata kifafa akiwa chumbani
Hii vita ni kubwa ni zaidi ya vita za IRAN na MAREKANI
-Huku kuna #waitara#dudubaya#MANARA harafu kule kuna #mauzinde na timu yake ya kina #ankot na wenzake nawaza tu sijui itakuwaje yani. lakini lazima mshindi apatikane.😂
Hii vita ni kubwa ni zaidi ya vita za IRAN na MAREKANI
-Huku kuna #waitara#dudubaya#MANARA harafu kule kuna #mauzinde na timu yake ya kina #ankot na wenzake nawaza tu sijui itakuwaje yani. lakini lazima mshindi apatikane.😂