10 , Kumi
1. Man Ikitokea Mikeka Yako Imetiki Usianze Kuwaona wana Ambao Hawajapata Ni Wavivu
2. Man Ukipata Gap pigia Pass wana Man kwa Wana Ili usije Kuja Kuwatreat wana Kama Machawa
3.Ikitokea Sasa Umefunga Goli Usimsahau aliyekupa Assist Man
4. Man Siku Mshua Akivuta Ndo utagundua Umempoteza Mwanaume Pekee aliyetaka wewe uwe bora Kumzidi.
5. Man Usiwe Chanzo cha Raia Mwingine Kufeli mzee
6. Usicheke wala Kukaa Meza Moja Na Walioidhihaki Familia Yako ata iweje .
7. Usimdhihaki Mwana Ili Kufanya Watu wafurahi man
8. Kama Kitu kipo Nje Ya Uwezo wako master Kiweke Nje ya akili yako Vile Vile Mkuu
9.Usirudishe Mpira man kwa Kipa , Imagine Leo Ndo Ile Jana Ulikuwa unaihofia Man
10. Man kama Umri ni wa Kutafuta Usipumzike man usije Kuja Kutafuta Ukiwa Kwenye Umri wa Kupumzika