@HecheJohn Kwa hiyo tukiwapa nyie nchi ndo mtaleta maji? @HecheJohn au ndo wale wale wanaotaka madaraka . Wanasiasa wote kitu kimoja. Natamani sana jeshi letu lichukue nchi hizi tamaa zenu wanasiasa wote mtasemea wapi.
@HildaNewton21@john Yaani nchi yetu sisi tuongozwe Na watu wa nje? Sisi ni sovereign state @HildaNewton21 Hatuwez kuruhusu hicho kitu. Tufanye yote lkn kutawaliwa hilo ndoto.
@HildaNewton21@HildaNewton21 ulitaka tufe tena? Please tumepoteza ndugu Na marafiki wa karibu sna. Najua ulitumiwa picha tu Na video. Ila Moyo yetu haipo tayari tena kupoteza.Natamani haya ungeyasemaUkiwa Na sisi mbele ya mitutu ya bunduki Na si kwenye mitandao Binasfi Amani kisha nadai haki
@HildaNewton21 Hilda mnasahau posti zenu zinazotaja uzazibar wa Mh Samia au syo Chuki Na ubaguzi? Ni demokrasia kwenu kumsema mtu mahali anapotoka au Kabila lake?
@mangekimambi Binafsi sipingi maandamano. But kwann maandamano yafinyike katika mazingira ya kuwaumiza wasiokuwa upande wa maandamano.? Shida kubwa si kukosesha nchi mapatao ndo kumumkoa Raisi tutaumia sisi raia wenye maisha ya kutoka tule.
@LarryMadowo You feel bad ? @LarryMadowo unataka tuawane then upate nn baada ya sisi kufa? Please bro acha mambo yetu tuyamalize wenyewe. Ushajaa wako pambania familia yako bro. The time tutakufa au ndugu zetu waliokufa hukuwepo, zaidi ya kuomba videos na picha. Ulisaidia nn? Please bro
@khamenei_ir When israel bombed palestians and iran its called self defence when we replie they call war and killing. Now let us join the hands to regain our diginty and respect
@ShubhamkrRaja @khamenei_ir Let me his arrogant control his mind. Let him feel he can do anything . But he nothing to the Allah. Israel has power without support from america they are defenseless
Nguvu inayotumika dhidi ya wapinzani tungeitumia kwa watu ambao ni wazembe, walarushwa na wanaokula mali za umma hii nchi ingekuwa imepiga hatua kubwa sana kiuchumi.