@sapro_phyticus4 Na maneno yake yakiwa sahihi? Bado utasema ana chuki?
Ureno wamewahi kuwa na Squard bora zaidi ya hii ya sasa ila ya akina Quaresma.... Walifanya nini?
Historia inawahukumu. Kwa maoni yake yupo sahihi ni vile mashabiki mnaingiza HISIA.
@INFLUENCERjr Moja kati ya vitu Apple waliwin ni kumfanya mtu ajione mjanja kutumia iPhone.
Uzuri mazwazwa ni wengi.. so waliwin sana kwenye story yao.
@PhilemonGo8638@Innocen89950594 Majanja mnaendeshwa na HISIA za kipuuzi sana. Unaelewa maana ya kuwapa wewe?
He wasn't even the key player of his team... Sasa aliwapa vipi?
Au ndiyo hiyo mipira ya Google? Kuhusu mpira janja huna lolote unaweza kuongea mbele yangu...
@iamNehemia Kiufupi kama ulitaka kusimama kwenye WHY.... Waambie wakasome kitabu cha START WITH WHY cha Simon Sinek....
Nimezungumzia kwenye WHY tu.... Content wise watakujudge wenyewe wadau wako.
@Addy_Adams Umenikumbusha kitambo
Kuna mwanangu alimpaga mimba mtoto wa Mwarabu pale Mbeya.
Alikimbilia Malawi kama miezi 6, ile anarudi kufika Kyela tu akadakwa
Alifungwa GEREZA ambalo hakuwahi kujua lipo wapi... Kama sio mama yake mdogo kuwa Askari angefia kule
Demu alimsaidia sana ๐