@Msumari9 Hako ni kamaisha ka siku hizi. Kwanza hatutongoz tena. Twapeana namba za simu. Twaalikana bar au hotelini. After few drinks and a small out we end up in bed. Yaani bila hata kutamkiana. Wakati mwengine unakula mpishi baadaye ndio unamuhoji jina. #Hiimakituimechange. #KaribuArusha
Ayaaaaaaaaaaaaa!
Haya twende wote hapo,
Nyumbu 100..............
Huu ni moto mpya kutoka TUMEHITIMU EP!
Mkwaju unaenda kama NYUMBU MIA MOJA, SIMBA MMOKO.
Kinasa Studios
Mdundo amepiga @palla_midundo
Kesho nitatoa utaratibu wa kulipia na bei ni 7,000/=tu.