@chesimpilipili@mangekimambi@RahabMbise@POTUS hata me nashangaa,kichwani kweli?? hii nchi hatupendw kwakweli...tunaombewa tufe tubaki wachache, maana hata michongo na fursa ni kwa watu wachache
Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo
1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki "
2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ?
Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana
@AbdulAlly253493@Imaniluvanga Ndo ugundue kufanya kazi ya mtu ni usenge qmmake bora akili yako uitumie kwenye kutengeneza future yako...sasa unataka kaz yako ifanyike au unataka uchekewe chekewe...maboss wengi wakibongo wanapenda kuchekewa chekewa,au uwe kidogo lifala fala ndo wakupe kazi zao