Sehemu ya hotuba ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg @MagufuliJP katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 Uwanja wa Jamhuri Dodoma Leo tarehe 29Agosti, 2020.
Happy birthday my shouger since day one,on your special day i pray for answers to your every prayer ubosslady kurudi included😂🙏🏻
Nakupenda kivuruge wangu♥️
@_Missgetrude
#KIGOMA Elimu kwa Mlipakodi mlango kwa mlango yawafikia Wafanyabiashara wa Wilaya ya #Kakonko mkoani #Kigoma ambapo Maafisa wa #TRA wamewaelimisha walipakodi kuhusu masuala mbalimbali ya kodi ikiwemo kusikiliza maoni yao na kero zinazowakabili.
High court orders forfeiture of property by Ngiritas obtained through theft and fraud.
Judge Mumbi Ngugi has been on a consistent mission to give teeth to the constitution.
She is the true Judge that the 2010 Constitution needs to make it a resounding reality.
#KatibaAt10
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imewateuwa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan. Uteuzi huo umefanyika leo tarehe 25 Agosti 2020 kwenye Ofisi za Tume zilizopo Njedengwa, Jijini Dodoma. Hatua hii inatoa
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.