Ni aibu kuojitangaza Duniani kuwa Tanzania tunazungumza Kiswahili fasaha mpk kushawishi mataifa mengine kujifunza lkn mikataba na sheria zetu nyingi za ndani tunafanya kwa kiingereza. Lini tutatumia kiswahili kwenye kila eneo?
@MabalaMakengeza@masoudkipanya