@RITATanzania Mimi nilituma cheti changu cha kuzaliwa rita na wakafanyikisha kunirudishiaaa cheti changu kwa muhuri wao sasa nashangaa wametoa majina ya wanafunzi walio hakikiwa vyeti vyaoo kikamilifuu lakini sijafanikiwa kuliona jina languu kwahiyo apo nifanyajeee? naombeni ushaurii
Epuka sana kuyaiga Maisha ya Rafiki yako Ambaye Kwao Wanauwezo wa kiMaisha wakati kwenu ni nilongpass ya Msosi,Vaa kauka Nguo ,,,,Nduguu Yanguu #utaumia#SANA@BwayVanny