@fabbydesigns@HzMnkai@gabyconscious Huyu Morega yuko wapi siku hizi? Alikuaga Second Master miaka ya 2000 mwanzoni Mara Boys huko! Alikua na ubabe wa Kingese
@fbuyobe Tumelipia! Mpk leo hakuna muendelezo wowote! Hutendei haki pesa za Wafuasi wako! Wngn tumelipia specifically for this one,lkn ni kama tumeingia cha Kike! Hata ikija,sio katika wakati ambao tulidhani na kushawishika kulipia