2027 ni works za msee zitamueka rada ๐
Chuga Boy ameland Chala Kati A na agenda ni kusambaza stima โก. 130+ homes zinaingia kwa grid.
Vile na-pull hizi moves, wasee wa Chala Kati A wanasema Tutam inanihusu ๐๐ฅ
Ni mbayaโ๏ธโ๏ธ
Nilikuwa na privilege ya kujoin Deputy President pamoja na viongozi wengine wakubwa wa serikali kumrepresent President kwa swearing-in ya Rais wa Uganda, H.E. Yoweri Museveni.
Joined other leaders led by Hon @KIMANIICHUNGWAH and Hon @Aaroncheruiyot alongside fellow leaders, clergy at St. John Paul II Chepterwai Girls Senior School in Chepterwai Ward, Mosop Constituency, Nandi County, for a thanksgiving Mass and the handing over of a school bus.
Kwa sasa tunasubiri hatua ya kutangazwa rasmi kwenye Gazeti la Serikali (gazettement), na kwa neema ya Mungu tunatumaini itakamilika kabla ya mwisho wa Juni 2026.
Ofisi ya Rais inayohusika na makabila madogo imekuwa Eldoro leo kwa ajili ya hafla ya kuthibitisha Wapare kama kabila nchini Kenya. Wapare walijitokeza kwa wingi kushuhudia tukio hili la kihistoria.