Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 na sheria nyingine za nchi yetu zinatoa haki ya watoto wote kupata elimu bila ubaguzi wa aina yeyote ikiwemo ujauzito. Na ikumbukwe Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoongozwa kwa misingi ya sheria.
#ArudiShule#ElimuBilaUbaguzi#CaliberInsurance
Ni sehemu moja pekee unayoweza jipatia huduma na mahitaji yako yote yanayohusisha Bima aina yoyote ile, na sehemu hiyo ni #CaliberInsurance, Fika sasa ofisini kwetu maeneo ya Viwandani Road, Mikocheni B, block 68 Dar es Salaam.
#CaliberInsurance#KataBIMAFasta#BimaTanzania
kata bima fasta ukiwa nyumbani kwako au ofisini kwako kuepuka maambukizi ya corona. stay safe wasiliana nasi kwa simu number 0742 140 811.
Je ungependa bima ikufuate mlangoni kwako? toa maoni au tupigie simu
#caliberinsurance#katabimafasta
Je, Ni aina ngapi za bima unazozifahamu?
Comment jibu lako na weka Hashtag #CaliberAnniversary#CaliberInsurance#KataBimaFasta
Atakayetaja aina nyingi zaidi kwenye tweet moja, kuna vocha ya Buku 5 inamuhusu. (Washindi wa 3)
Aya twende. ๐ ๐
Today is the day!! ๐๐คฉ 1โฃ
Itโs our one year anniversary in Insurance business. We thank you for being part of this journey. It has been a pleasure serving you all. Ahsante!
#Caliber2020#CaliberAnniversary2020#Mmoko
Home. It's your safe haven. It's where you raise your family and create memories that last a lifetime.
Buying home insurance can help protect both your home and your personal belongings.
Insure your home now. https://t.co/G2crAjVf72
Call us. 0742 140 81
Tunawatakia Maadhimisho mema ya siku ya wafanyakazi duniani.
Pongezi nyingi kwa watoa huduma za afya, tunasherehekea mchango wenu katika mapambano dhidi ya Corona. #MeiMosi