#HistoricalZanzibar: Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad alisimamia kuandikwa Katiba Mpya ya Zanzibar ya 1984, akawasilisha Mswada kwenye Baraza la Wawakilishi. Kwa mara ya mwanzo, Katiba hiyo ikaingiza Haki za Binadamu, jambo lililo lazimisha Bara nao kufuata.
Akiwa Waziri Kiongozi wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad alisimamia kuandikwa Katiba Mpya ya Zanzibar ya 1984, akawasilisha Mswada kwenye Baraza la Wawakilishi na kushawishi ipitishwe. Kwa mara ya mwanzo, Katiba hiyo ikaingiza Haki za Binadamu na kulazimisha Bara nao wafuate.