Kuna loyal wangu ako na bangers tatu zinacheza mita uko lkn mm nimepost adi hizo gif za mamba nabado naokota tu likes tatu 😂😂mnataka nirudi ushago wajameni?
Mwanaume kama unaeza pika chapo fsuri, itokee ya round, kama ni spices unajua kutumia,Yaani unafanya Ombachi asweat haga, kama ni usafi, nyumba iko clean. You can't stand nguo zinatembea... Jua you are the price.
Na kuna hii career ingine ya upuzi ya tattoo,kutoka nayo block ni ngumu. Dem mrembo anakuja anataka uchore moja hapo kwa nyondos na pussy, na ujue hauezi kataa coz ni kazi yako. The moment umeanza kazi ushajua hapa malipo ni pochi. Bila discipline malipo itakuwa bodycounts daily.
2015 masaa kama hii tungekuwa tunazunguka kwa boma za matajiri one after the other tukitafuta mwenye anahitaji watoto wa kumchunia kahawa. Nakwambia tulikuwa tunaangukia jackpot tukipata mtu analipa per day instead ya yule analipa per bucket. Hatujaanza kujituma jana.