@TBConlineTZ Filbert Mkama wa Moshi Tanzania,kwa upande wangu natoa maoni kuwa itungwe sheria ya Askari au matrafic kuongea na dereva adhalani Yan kama gari la abiria limekamatwa bas traffic apande ndani ya gari aongee na abiria kwa kuainisha makosa ya dereva au gari ili abiria wajue na waon
@ikulumawasliano@venusnyota Mh. Rais tunataka kusikia majina mapya katika teuzi zako sio kila siku majina ni hayo hayo tuu ya viongozi au watoto wa viongozi mana Tanzania sasa tuko mil60+ wasomi ni wengi plz
@millardayo Mwambieni aache ujinga goli goli tuu ufunge kwa penalty au kwa vyovyote tu goli,ndomana said kafika 17 ingekuwa hayajumishwi magoli ya penalty hapo sawa ye atulie bodi iamue,mbona yy kafunga magoli mengi ya mchongo ya offside..saido anastahili