@ProLearner77@mkemi4mkUu Ndio ni zaidi ya hio... yan wewe opinion iko sawa pale utakapofananisha mfanyabiashara ambae ni presumptive tax payer na mtu anaelipwa mshahara wa 11m per year kushuka chini ,,apo wa mshahara analipa zaidi
@ProLearner77@mkemi4mkUu Nmeassume tu km PAYEE inavyokatwa kwenye Gross income ndio nimepiga hivyo hivyo kwa mfanya biashara(kampuni) kwa hela hiohio ndio faida yake je kodi yake itakua kiasi gani ndio hio hesabu uliyoiona hapo
@ProLearner77@mkemi4mkUu Mfano huyu angekua mfanya biashara alitakiwa kulipa 28440000ร30%=8,532,000
Huyo alielipwa mshahara 482000ร12=5,784,000 apo bado mfanya biashara hajalipa service levy,withholding,taka,leseni n.k apo ndo utaona utofauti