Ukitaka kumjua TAPELI👇
Kila OFISI ya Mkuu wa Wilaya, kuna:
- Afisa Usalama (TISS)
- TAKUKURU
- OCD (Polisi) na
- Internal AUDITORS
Wote hawajaona kuna TATIZO. Ila YEYE katoka Dodoma, amefika hapo kushika MIC na kufoka mbele ya Media kuonesha anachapa KAZI.
@iammartial97@EduTalkTz Anasimulia kama vile alikuwepo.
Hiyo EAMW ilikuwa Tanganyika peke yake au Nyerere aliivunja kwenye nchi zote za Afrika Mashariki?
@dealsindar@MunishiRenald Muungano haujawahi kuwa jambo baya. Ila Muungano uliopo siyo Muungano ulioachwa na waasisi wake.
Umekuwa muungano wa kitapeli.
Kina Nyerere waliacha nchi moja, leo ziko mbili.
Ukiendelea hivi utavunjika, wala asikudanganye mtu kuwa haiwezekani. Siyo muungano wa kwanza
Yaani kila ninapotafakari kuhusu makosa ambayo yapaswa adhabu yake yawe kifo sipati majibu.Hivi kuwa mkosoaji wa serikali anaekubalika na jamii ni kosa ? Inawezekana waliotuingiza kwenye mfumo wa vyama vingi hawakuwaza vizuri?
Walipaswa kuwaza kuwa ipo siku atakuja mtawala ambae hatavumulia ukosoaji,walipaswa kuwaza kuwa huyu mtawala ataondoa vijana wa Tanzania kwa kuwateka na kuwapoteza kwa sababu hataki kukosolewa.
Hii haiwezi kuwa njia sahihi ya kuunyamazisha upinzani.Upinzani unanyamazishwa kwa kuwatendea haki wananchi.Upinzani utanyamaza siku Demokrasia itakapoheshimika kama mfumo bora wa kiuchaguzi.Upinzani utanyamaza Watanzania watakapopata maendeleo kwenye level za Kata bila ya mtu kuuwawa.
Upinzani hauwezi kunyamaza kama 98% ya Bunge ni la chama kimoja lakini bado hakuna maendeleo mtaani.Tunanyamaza vipi ikiwa umasikini unaongezeka uraiani lakini CAG anatoa ripoti za ufisadi wa hawa wanaojiita viongozi wa nchi?
Ajira hakuna,Maendeleo hakuna,Huduma za afya ni hafifu,Barabara ni za hovyo,Pesa hakuna mtaani na Mafuta bado yanaendela kupanda bei.Ukihoji wanakutafuta upotezwe.
IT CANT BE,WE CANT CONTINUE LIKE THIS.
Bring back Twaha Mwaipaya. Free him now.
@tutla7 Mwinyi hana uwezo wowote.
Maendeleo huletwa na pesa (budget).
Aliyeleta pesa Zanzibar ni Samia, kwa kupora pesa za Mfuko wa barabara na kupeleka sehemu ya pesa za mikopo, ambayo Tanganyika ndio mlipaji.
Chanzo kipi cha mapato, Mwinyi kaanzisha kupata pesa za Miradi?
@dealsindar@MunishiRenald Mtanganyika yupi anashoboka na Wazenji, nikusaidie kumshangaa?
Mimi mwenyewe nimewahi kuuliza Wazenji hawapendi Muungano, Samia ambaye katoa roho za vitoto kikatili mpaka wajawazito, kwa muungano, kitu kisicho na damu kinamshinda nini, amalize kazi mpumue?
@JPMagoofuli How much did they pay?
Why call it a risk?
"DEMONIZED by Western media, local business community, opposition politicians, diplomats, intellectuals, activists and academics here in Tanzania. "
Why was it so needful, they to praise him for correcting what his CREW did?
@TravellerVoman Hakuna kitu kinaitwa CCM na wazalendo kwa chama ni wachache sana.
Wengi ni machawa wanaoijibanza nyuma ya mwanasiasa mtoa rushwa na vyeo.