‼️HABARI MBAYA‼️
Hawa kwenye picha ni Viongozi wa Bawacha Mkoa wa wa Tanga Katibu na Mwenyekiti.
Leo ni siku ya nne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi katika katika vituo tofauti Mkoani Tanga lakin Jeshi la Polisi halitaki kusema kwanini linawashikilia.
Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Tanga Rukia Ally anashikiliwa kituo cha Polisi Muheza.
Na Katibu wa Bawacha Mkoa wa Tanga Nasra Omar Kihiyo anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Korogwe.
#FreeRukiaAlly #FreeNasraKihiyo
Amkeni, Jumuiya ya Madola leo Tarehe 10/7/2026 Wamemchabanga vikali Samia na Genge lake la CCM, lamtaka ndani ya siku 90 wamuachie LISSU!!
Nikifa Leo ,hata kwa hiki tu kidogo , nilifika Mbinguni nitafurahi na Malaika, Nina hakika 100% Wanangu wataiona Tanzania Mpyaaaaaa ,NCHI ya Asali na Maziwa
Hatimaye, Yale mabilioni ya Fedha ya yule Bwana Waziri akizunguka Ulaya na Marekan kuyagawa , akiuza Rasilimali za NCHI ili Wauaji wa Oktoba 29, wafumbiwe macho, Yamekwenda Bureee.
Mambo unamdanganya Mama , Mombooo kweli kabisa🤣
Sasa kama Mna akili, Hawa NDIO ANAGALAU WANA UNAFUU, Mapendekezo haya mkiyafanyia Kazi ,yatazuis Hatua mbaya na za Juu kabisa kuwahi kushuhudiwa kwa WANA CCM.
EU akija kusema, US akahonga Muhuri, Mamaeeee tukutane ICC.
.
Good Job Watanzania, wow wow wow.
Hongereni Watanzania maana zamani hata kuwazomea hivi CCM tulikuwa tunaogopa ila sasa hivi hatuwaogopi tena hawa wauwaji na machawa wao.
Watanzania, video kama hizi zinatutia moyo wanaharakati wenu tuendelee kupambana kwa niaba yenu. Yani mimi personally nimeangalia video hii nikajiambia, it’s worth it kupigania nchi yangu, Acha ma cartel waje kuniua ila napigania watu ambao wako tayari kujipigania…..,
Mmejua kunipa raha mchana huu.
@tedcruz@SenatorShaheen@Europarl_EN This is the reality in Tanzania: the people have rejected Samia Suluhu and her regime. The moment her government was mentioned, the crowd erupted in boos. The minister wasn’t even given the chance to finish his sentence.
The only reason CCM remains in power is through killings, fear and force. Tanzanians are being held hostage at gunpoint, not governed with the consent of the people.
Kwa sasa Heche ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA hadi Lissu atakapokuwa huru. Utake usitake
Sasa Heche ndo mwenye kauli ya mwisho CHADEMA. Anafanya chochote kutokana na Vikao vya chama.
Hii taarifa kwa CCM wote wanaohisi Heche ni Makamu mwenyekiti. Kwa katiba ya Chadema, kwa sasa ndiye Mwenyekiti. Mlingoti chuma bendera chuma.
Heche mnamuona mdogo lakini kiti chake kikubwa. Ndiye anayeamua Siasa za Tanzania ziendeje. Akisema hakuna maridhiano ni hakuna.
Hata mkitaka kumchafua, hachafuki, hana makandokando, hakwepi kodi, mcha Mungu.
Hata mumtukane hajibu.. Yeye kazi yake ni moja tu, kuifikisha Tanzania nchi ya ahadi.
Safari hii chama cha Wauaji, Mafisadi na Watekaji mtanyooka. Haogopi wala hatishiki.
Chuma kwelikweli. 💪
‼️🚨Breaking news!‼️
Mwuaji in chief na genge lake wameingia mkataba mwingine na lobby firm ya BGR na imekubali kulipa USD laki mbili na nusu kwa mwezi
Kama tshs milioni 670 na ushee kwa mwezi!
Kwa mwaka watalipwa dola milioni 3 ambayo ni kama bilioni 8 na ushee
Mpo?
Machawa mnalipwa peanuts 😁
Haya #TutaelewanaTu
Ila yote kwa yote mmeangukia pua na hakuna cha msalia mtume
#SamiaMustGo
https://t.co/tOJQIY4TNQ
Mmeuwa watu zaidi ya elfu 10 alafu leo mnajiita walinzi wa amani? Amani ipi?
Kwanini mnadhani kila mtu yuko kwenye league yenu ya ujinga?
Regime yenu ya WAUWAJI itaanguka.
You can’t kill us and lead us.
Killer Samia Suluhu Must Go Now!!
Kaka @zittokabwe habari yako!
Umekuwa mkali baada ya Mkuu wa Majeshi Uganda, Dikteta Muhoozi Kainerugaba kutoa agizo la kufunga vituo vya NTV na gazeti la Daily Monitor, ukisema ni shambulio dhidi ya uwekezaji wa Kitanzania.
Nyumbani kwetu hapa, kituo cha JAMBO TV (kinachomilikiwa na rafiki yako, John Marwa) kimefungiwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa siku 90 kwa kukiuka kanuni zao.
JAMII FORUMS, ilifungiwa kwa siku 90 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Septemba 2025 kwa tuhuma za kuchapisha maudhui ya kupotosha na kudhalilisha serikali. Hukupaza sauti kabisa.
Walistahili kupiganiwa ipasavyo kwa wewe kupaza sauti. Unatetea maslahi ya matajiri (tycoons) wa kisiasa waliowekeza nje ya nchi wakati huo ukipuuza ukandamizaji wa vyombo vya habari ndani.
Unakaa kimya wakati JAMBO TV inafungiwa hatua inayoumiza waandishi wa habari wa Kitanzania moja kwa moja, unasimama kutetea maslahi ya kampuni ya Mauritius inayofanya biashara Uganda.
Kwamba kufungwa kwa vyombo hivyo Uganda ni pigo kwa uwekezaji wa Watanzania? Muundo wa kampumi ya TAARIFA LIMITED unapingana na hoja yako ya msingi. Huo siyo uwekezaji wa Kitanzania.
TAARIFA LIMITED ni kampuni ya uwekezaji (investment holding company), ilichaguliwa kama muundo wa kisheria kwa ununuzi wa hisa kubwa katika kampuni ya Nation Media Group (NMG)
Ilitumika katika ununuzi wa hisa (54%) katika kampuni ya Nation Media Group (NMG), kupitia kununua NPRT Holdings Africa LTD kutoka Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED).
TAARIFA LIMITED, ambayo ilichukua 54% ya hisa zilizokuwa za Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED) ndani ya Nation Media Group (NMG) imesajiliwa MAURITIUS siyo Tanzania
Kisheria na kiuchumi, uwekezaji uliosajiliwa katika maeneo yenye nafuu ya kodi (tax havens) kama MAURITIUS haunufaishi uchumi wa Tanzania moja kwa moja. Siyo ‘Tanzanian-owned businesses’
Hakuna namna fedha zinazozalishwa na vyombo hivyo nchini Uganda zitakavyoingia kwenye mfumo wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuongeza akiba yetu ya fedha za kigeni (foreign reserves). HAIPO
Zinaishia akaunti za mabenki ya kigeni Mauritius au kwingineko. Mauritius inajulikana kwa kuwa na mikataba ya kuzuia utozaji kodi mara mbili (Double Taxation Avoidance Agreements - DTAAs)
Inapotokea kampuni imeuza hisa zake au inapata faida, kodi ya faida inalipwa MAURITIUS (ambako viwango ni vidogo au ni sifuri) badala ya Tanzania au nchi ambako biashara halisi inafanyika.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haiwezi kudai kodi ya mapato (income tax) ya moja kwa moja kwenye miamala inayofanyika chini ya mwavuli wa kampuni iliyosajiliwa katika nchi ya Mauritius.
Kampuni ikisajiliwa Mauritius, iko chini ya sheria za makampuni Mauritius. Tanzania haina mamlaka ya kisheria (jurisdiction) kuhoji muundo wa utawala, akaunti za benki, uwazi wake wa kifedha.
Kodi, faida, na miamala ya kimkakati ya kampuni hiyo haiingii katika mfumo wa mapato ya ndani wa Tanzania. Huo siyo ‘uwekezaji wa Kitanzania’. Labda utafute jina lingine la kuita huo uwekezaji.
Faida inayopatikana kupitia mianya hii ya tax havens hairudi kama kodi ya kujenga shule, hospitali au barabara, ni pesa za mifukoni za wafanyabiashara wakubwa wa kisiasa na makada wa CCM.
Fedha hizi ndizo zinazotumika kufadhili harakati za kisiasa za ndani, ikiwemo kampeni za uchaguzi na matukio ya ukandamizaji wa kisiasa kama yale yaliyoshuhudiwa nchini mnamo Oktoba 29.
Badala ya kuhoji ni kwa namna gani uwekezaji huo wa Taarifa Limited katika vyombo vya habari vya Uganda unamsaidia mwananchi wa kawaida wa Tanzania, unakuwa mtetezi wa biashara za MaCCM.
Unapigania maslahi ya matajiri ambao wanatumia faida zao kudhoofisha demokrasia. Unasikitikia uwekezaji uliosajiliwa Mauritius usiokuwa na tija ya kodi au ajira ya moja kwa moja kwa Mtanzania.
MMM, Martin Maranja Masese, Masese