Kama Shetani ni adui wa Mungu, kwa nini simulizi nyingi za kidini zinampa nafasi kubwa kiasi hicho katika kuelezea maisha ya binadamu? Je, Shetani ni kiumbe halisi, ishara ya uovu, au dhana iliyotengenezwa kuelezea mambo ambayo binadamu hawezi kuyaelewa?
@SharonMontana20 Au kipindi anamuumba Adam Kwa mfano wake (na Eva), akawaweka bustani ya Eden, kwanini aliweka ule mti wa matunda ya uovu, kwanini asingeangamiza ule mti Ili watu wake wakawa salama? Bila ule si kusingekua na mabaya au Mimi ndo sielewi
@BGEL2011 Unarudi Mzee, kama ndo the only source of income uliyonayo utafanyaje sasa. Ever since hukuhusika kwenye mgao/wizi unarudi tu kazi inaendelea
One of the brothers kwenye ๐น๐ฟ Tech Ecosystem ambaye unaweza kumshtua anytime na shida yoyote na akawa positive kukusaidia hata kama hakufahamu bila kujali udogo wa kikampuni chako, ni @macdemelo . This is an appreciation tweet to him.
All I can say is that TAL's emotional intelligence is out of this world. There are very few people (or none other), men or women, who can endure what he's going through with confidence, a smile on his face and a healthy dose of grace.
Much respect ๐ซก