Nimeenda Msamvu pale, kuingia ni Tsh 300 unapewa tiketi, nimefika pale kwenye kigeti maza anayezikusanya tiketi anataka aipokee ampe mtu mwingine alikuwa kasimama pembeni kule aingie nayo.
No way nimeivuta nikaichana mbele yake. Kaishia kuniangalia na mimi nikasepa zangu 🚶♂️🚶♂️
Sijui kama Bolt sikuhizi wanakagua vyombo vyao, ni mara ya pili hii nime request Pikipiki inakuja haina Side mirrors dereva hana helmet ya abiria.
Ya leo ndio kiboko; Side mirrors hamna na wala Speedometer /dashboard haiwaki. Helmet hata usiulize
Rais Mwinyi amesema Zanzibar inabomoa maghorofa ya zamani yakiwepo yale ya Michenzani, Kilimani na Kikwajuni yaliyojengwa kufuatia mapinduzi mwaka 1964, na badala yake watajenga majengo mapya, makubwa na ya kisasa zaidi kwa ajili ya watu wa Zanzibar.
Wakuu Mkate mkubwa umefika Tsh 4000/=
Sina familia, ila wenye familia ambao mnahakikisha watoto wanakunywa kwanzia Chai asubuhi hadi cha usiku in a proper way, Mungu azidi kuwafanikisha, msikose hata siku moja.
Kazi yenu ni kubwa