@Psiteshio1 Kaskazini bhan tumelelew ktk misingi ya dini hadi rahaa
Kusini huku duuh kila kitu kwa mtaalamu mtu anakinusu heka anataka kulima ufuta chakwanza anakimbiliya kwa mtaalamu,kigenge kidogo cha mbogmboga kwa mtaalamu,,yaani maendeleo zero umaskini mtupu umewajaa
@safarimlevi Hao wote walishakuwa viongozi
Inawezekana awakuwa na Impact yeyote ,siyo Vibaya upepo kuchange
Baba levo kama mbunge ninamwona kiongozi mwenye Impact kubwa ktk wananchi wake