🎒Kibegi ndo habari namba 1 Tanzania, Asanteni sana watanzania muda mchache mtaona kit mpya za Mnyama zilizomo ndani ya Kibegi
Saa 1 kamili jioni picha zote zitaanzia kwenye Simba App❗️
#Kibegi#WenyeNchi#NguvuMoja
Taarifa: Mbeya tuna msiba mzito, tumeondokewa na Mzee Dr. Felix Luswema, ambaye alikuwa Katibu wa kwanza wa Chadema jimbo la Mbeya Mjini…Msiba uko nyumbani kwake Soweto kata ya Ruanda, na ataagwa kesho saa mbili asubuhi ambapo mazishi yatafanyika Malangali, Mufindi, Iringa. RIP