@The_Mizani It law of nature,utakula kwa jasho ,miiba na michongoma itakuchoma,utailima ardhi nayo itakuzalia,sijui nani aliwaambia hela utaipata mtandaoni kwa trade tu
@Maestrowafact Kuna mstari mwembamba sana kati ya afya ya akili na ujinga @Maestrowafact yani pamoja umetusanua kuna majinga yatapigwa tena na yatakuja public kulia,dogo kaja bila panga term hii ukijimix umeisha
@Maestrowafact Kama wameamua kwa hiyari zao may their soul be denied rest in every realm, haunted without end, until it finds its way back to the place it cannot escape.
@EngMapundajr Huyu alisoma wapi,za ndani kabisa alitaka kuwa muigizaji akajifunza na ubaunsa kidogo,alivoona mchongo uko kwenye dini akawekeza huko ila kuhusu dini huyu ni mweupe,nitafutieni siku alipomtaja Yesu kristo niwaoneshe nyoka mwenye manyonyo
@Maestrowafact Nafikiria uwepo ukomo wa mabadiliko ya bei,latra na wao wawe serioua kidogo ikiwa soko la mafuta bei zikishuka wawe aggressive kushusha bei pia za nauli,sio tu tukisikia badiliko basi ni kupandishwa nauli.