Heri ya mwezi mpya kwa wateja wetu pamoja na wadau wa kilimo nchini, je umejiandaaje kuhakikisha kilimo chako kinazidi kuwa bora na kukuletea faida?
Kwa ushauri au manunuzi ya mashine za kisasa kwa ajili ya kilimo, Canopus Agro ipo kwa ajili yako.
Katika wiki hii ya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam, Kampuni ya Canopus Agro inawakaribisha Watanzania wote pamoja na wageni mbalimbali kuja kununua zana bora za kilimo kwa bei nafuu.
Mashine ya kuvunia mpunga ikiendelea na kazi shambani. Je ungependa kupajipatia mashine kama hii kupitia mkopo wenye masharti nafuu?
Wasiliana nasi sasa kwa taarifa zaidi:
💻 [email protected] 📱 +255 744 444 000
#ChangamkiaFursa#WakatiNiSasa
Uchaguzi wa zana bora za kisasa kwa ajili ya kilimo, ni jambo la muhimu siku zote uwapo shambani. Kwa kufahamu hilo @canopusagro inaendelea kukuletea zana mbalimbali za kilimo kukidhi mahitaji yako.
Tazama jinsi mashine ya kuvunia mpunga inavyofanya kazi ikiwa shambani.
Hapa ni mkoa wa Mbeya - Kapunga ambapo moja ya mteja wetu ameweza kununua kwa mkopo mashine ya kuvunia mpunga (Combine Harvester).
Kupitia programu ya #PASSLeasing unaweza kukopa zana za kilimo kwa masharti nafuu.
#ChangamkiaFursa#WakatiNiSasa@LeasingPass
Tukiwa kama moja ya kampuni ya kilimo Tanzania, tunafurahi kuona wateja wa kilimo kutoka sehemu mbalimbali nchini, wakiendelea kununua zana za kisasa kwa ajili ya kilimo.
TUMEDHAMIRIA KUKUHUDUMIA!
Kwa mara nyingine tumemkabidhi trekta mpya na ya kisasa, kwa mteja wetu ambaye anaishi katika wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma. Chini ya mpango wa #PASSLeasing mkulima yeyote unaweza kujipatia trekta kwa njia ya mkopo wenye masharti nafuu.
Je wewe ni mkulima na unahitaji kupata zana bora za kilimo? Katika msimu huu wa kilimo, Kampuni ya Canopus Agro tumekuletea zana za kisasa yakiwemo matrekta na mashine za kupandia mbegu za aina mbalimbali.
Chagua @CanopusAgro kwa zana bora za kisasa na kwa bei nafuu.
Aidha, tukio hilo limeongozwa na Afisa Mkuu wa Kilimo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bwana Michael Mwaisondola.
#kilimobiashara#tanzania@LeasingPass
Kampuni ya Canopus Agro kwa kushirikiana na Kampuni ya Pass Leasing, ambao ni wadau wa kilimo nchini, imemkabidhi trekta ya kilimo kwa njia ya mkopo, mteja wetu Bwana Joseph Ubamba.
Makabidhiano hayo ya trekta yamefanyika wiki iliyopita, nyumbani kwa mteja huyo mkoani Iringa.