@vistovic17 Nazani=Nadhani, wamealibu=wameharibu, hasili= asili. Mjomba pambana ujifunze kiswahili vizuri kama unataka kuwa mwandishi mzuri wa makala, yaani hapo mwanzoni tu hamu ya kusoma inaisha, unajua kabisa hata mada yenyewe itakuwa nin sense!
Ngumu ila meza itakusaidia
@kabigwa_78 Asante kwa Uzi mzuri, lakini namba 1 na 2 ni kitu kile kile: Ectomorph: They have a skyrocket (very fast) metabolism.
Pili kwa wale Ectomorphs: kula calories 4500 Hadi 5000 kila siku, utagain weight haraka Sana, minimum 4 kgs per month, fanya mazoez magum mfano gym epuka kitambi
@mk14instreet@goligani Tosamaganga hatujawahi kuwa na kiazi kama wewe, labda umesoma Tosa ya H kunani sio Ile ya malegend halisi. Form 6 ,2009, PCM, now Engineer.
@officialabdrix@goligani@hauleisaac84 Njia si sahihi, huwezi pata 8 power x hapo. Just let 4 exponent x be "a".
Then a +a = 8, 2a= 8, hivyo a=4.
But a= 4 exponent x, thus 4 exponent x =4 exponent 1, ; X=1.(Same base, equal exponents.
@capitanpapilon Hapo Kuna Elimu ya Siri imefichwa, hata wewe ukipelelezwa from numerological, astrological and parapsycholocal point of view, utakuta Kuna some one alikuwa Dunian mamia ya miaka kabla hujazaliwa, mnashare details za mapito yenu.
Unaambiwa Numerology inaweza kukuambia future yote
@TMnyama4_ Dunia mwalimu MKALI,Hana msamaha kwa wazembe na wajinga kama wewe, it will break you down apices. You WILL LEARN THE HARD WAY and no one will save you from your FUCKING IMPUNITY!
Shenzi type!!!
@EngJubel Kiongozi umemix mada 2 tofauti. TIME TRAVELING & REINCARNATION. Fuatilia vizuri, mifano mingi hapo umeitoa ya reincarnation, mfano hyo ya Ozil, Jay Z na huyo mtoto. Reincarnation ni kufa na Kisha KUZALIWA tena mtu/ nafsi Ile Ile mahali pengine au hapo hapo.
@DicksoniJ57776@MagdalenaJ81011 Amini usiamin,naungana na Dickson, kila mwanamke ana maji ,ila inategemeana 100% na utundu wa mwanaume atakayekutana naye! Naongea from experience, sio vya kuambiwa! Kama huamin karibu Kwa practical hauhitaji kusimuliwa!