🚨 BREAKING: Uongozi wetu Simba SC chini ya Mwenyekiti wa bodi Crencentius Magori umekamilisha usajili mwingine muhimu wa mshambuliaji mzawa Ismail Mgunda kwa mkataba wa miaka miwili akija kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji lenye Selemani Mwalimu na mshambuliaji mwingine wa kimataifa atakayesajiliwa
Ni deal ✅ done Mgunda atacheza Simba SC msimu ujao🏃
🚨Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori akijibu swali la mchambuzi kuhusu Seleman Mwalimu kutambulishwa yanga.
"Jambo dogo sana hilo, Sipaswi hata kuliongelea, Hakuna taharuki yoyote, Simba ilipe Bilioni moja kama Ada ya Mkopo? kwa mchezaji gani yule?"
Nimependa jibu lake zuri na fupi✍️
🗣Crescentius Magori akiwa Airport kuelekea Zanzibar mchana huu
🚨Nimegundua leo kule upande wa pili report yao kila mwaka wanapata faida ya Mil 17 kwa mwaka mzima kumbe sababu ya kupambana na Simba.
Yaani unatoa zaidi ya Mil 500 kwenda kumchukua Mwalimu kwa mkopo na hapo hapo unamlipa mshahara wa zaidi ya mil 30 kwa mwezi kwa mwaka mzima?
Una washambuliaji wanne unaenda kuingia gharama kwaajili tu ya kushindana na Simba mtandaoni😃😃🏃🏃🏃🙌
Kesho kiwanja kitaongea aliesajili na ambae anapiga porojo mtandaoni.
See you tomorrow 🦁