M.B.G ๐ฅ | Shabiki wa : ๐น๐ฟ Young Africans SC | ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Man United | ๐ฎ๐น AC Milan | ๐ช๐ธ Real Madrid
Maisha ni Football + Motivation + Vibe
Waliofuata slip za 39 leo mje na majibu.
Kamari ilivyo hapo jamaa atakula vichapo miezi na miezi mpaka kuwin tena. Sportybet anarudisha hasara yake ya jana kirahisi sana.
Sasa yule mwana wa Nigeria jana kafanya yale BOOOOM๐ฅโ , jichanganye leo kufuata mikeka yao , ndio utajua kanji kazaliwa Mumbai , Delhi , Bangalore au Kanji wa Kariakoo na Posta ๐๐
Shwaaaaaaaaaa.!๐
Enzi za utoto, kula kwa jirani ilikuwa kosa kubwa sana na mama alinikemea kwa nguvu. Lakini hiyo elimu imenisaidia sasa kutokua na tamaa ya vitu vya wengine. Namshukuru sana mama yangu.
@Network_321@Kil0voltI@Adv_innocent Yes yote mawazo ila kiukweli ni bora uvunje bajeti yeyote hapo ulipie tu king'muz coz kuna game zinachezwa muda ambao sio vzur kutoka mfano hiz za WC au za ulaya za 5 usiku