Utafanya nini katika eneo hilo la kurekebisha Sheria ya TLS ili kurejesha heshima ya chama chenu?
Sheria haijakosa nguvu. TLS haihitaji Rais mtendaji (executive president); inasimamiwa na Baraza la Uongozi (Governing Council). .
Nani anatosha kuwa Rais wa @TanganyikaLaw ilikuwa mada jana usiku kupitia @Clouds_TVtz
Katika harakati za Uchaguzi wa Rais TLS mwaka huu, kutakuwa na Mdahalo Wakili House leo. Mnakaribishwa.
Naomba kura zenu 'Learned Friends'.
WAKILI TV inakuletea Mdahalo wa Wagombea nafasi ya Uraisi na nafasi ya Mwenyekiti wa Mawakili Vijana. Utakaofanyika tarehe 20/07/2024 kuanzia saa tatu asubuhi katika Jengo la Wakili House jijini Dar es Salaam. Karibuni sana. #TLSElections2024#TLSAGM2024
Sera za mgombea nafasi ya uraisi @tanganyikalawsociety Wakili Ibrahim Bendera kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 02 Agosti 2024 jijini Dodoma. Kutazama video kamili bofya link 👇👇
https://t.co/cQKa4p0tlK
Sera za mgombea nafasi ya uraisi @tanganyikalawsociety Wakili Ibrahim Bendera kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 02 Agosti 2024 jijini Dodoma. Kutazama video kamili bofya link 👇👇
https://t.co/7g2e83XcAc

@ms_bendera Pia, Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi (2023-2024).
3.Kwa nini unataka kugombea urais TLS?
Nagombea ili katika kipindi cha miaka 3 niongoze Baraza la Uongozi (governing council) kwenye kuboresha taaluma ya Uwakili; 4/
@ms_bendera 2.Umewahi kugombea nafasi yoyote TLS?
Nimegombea na kuwa M/Kiti wa Kamati ya Mapato ya Mawakili (Advocate Remuneration Committee 2007-2010);
Makamu wa Rais (2010-2011); Katibu Mkuu East African Law Society 2012- 2014); M/Kiti Kamati ya Maadili ya TLS (2015 -2023); 3/
Our goal is to raise the standards of ADR Practice in the region by introducing the practitioners to the most effective ways to navigate complex conflicts full of confidence and results-oriented.
For registration please visit https://t.co/OYUyU71DcE
Hili litawafanya wajifunze uendeshaji kesi Mahakama ya Rufaa, kutumia ofisi bila kuingia gharama za kuendesha ofisi. Mengineyo yapo kwenye manifesto yangu.
Utafanya nini katika eneo hilo la kurekebisha Sheria ya TLS ili kurejesha heshima ya chama chenu?
Sheria haijakosa nguvu. TLS haihitaji Rais mtendaji (executive president); inasimamiwa na Baraza la Uongozi (Governing Council). .
Kwa mfano kupunguza kiwango cha Ada ya kila mwaka; kuibadilisha Ada iwe ya miaka 3. Tunacholipa hivi sasa kama Ada ya mwaka itakuwa Ada ya miaka 3; kuwafanya mawakili wapya ambao hawajatimiza miaka 5 wawe chini ya ofisi za mawakili waandamizi.
@TanganyikaLaw ni Jumuiya ya kitaalam yenye madhumuni ya kuboresha taaluma ya Uwakili inayofuata yale yaliyosemwa na Martin Luther King Jnr mwaka 1963 "injustice anywhere is injustice everywhere"
Popote penye uvunjifu wa haki TLS inatakiwa ihusike na kupinga na kuondoa dhulma.
Kuna mwandishi aliuliza, Je TLS ya sasa imepooza tofauti na miaka ya nyuma, wewe una maoni gani?
Jibu: TLS haijapooza; ni Jumuiya ya kitaalam. Kuna watu wanadhania kuwa TLS ni sehemu ya serikali; na wengine wanadhania kuwa ni wanaharakati. Wote wanakosea. 1/2