Nianze kwa kuishukuru familia yangu kwa kuendelea kunisapoti kwenye safari yangu ya sanaa. Jana tulikua pamoja kuiandika historia mpya kwenye sanaa ya Mwanza na Tanzania kiujumla.
Mama alikuwepo kushuhudia na alitoa baraka zake kwenye tukio la jana.
Inauguration of the passenger train connecting Dar es Salaam to Dodoma. A major infrastructure improvement that will foster further development and growth. Congratulations to the government of Tanzania! Hongera sana! ๐น๐ฟ ๐๐ผ
Nani anatosha kuwa Rais wa @TanganyikaLaw ilikuwa mada jana usiku kupitia @Clouds_TVtz
Katika harakati za Uchaguzi wa Rais TLS mwaka huu, kutakuwa na Mdahalo Wakili House leo. Mnakaribishwa.
Naomba kura zenu 'Learned Friends'.
It is with great honor that I have been shortlisted for the @legalPSG Awards' Partner of the Year - East Africa category, Our Managing Partner Neema as the Women Leaders in Law - Private Practice category.
@AdvisoryExtent , shortlisted for the African Law Firm of the Year.
Habari ya dunia sasa ni Mabadiliko ya Tabia Nchi. Fursa nyingi ziko huko. Inatia faraja kuona Bwana. Gideon Sanago anatuwakilisha vizuri katika mjadala unaoendelea hapa Korea Kusini katika vikao vya Loss and Damage Fund (LDF2) na Green Climate Fund (GCF).
Gideon ni Mjumbe wa Bodi ya Umoja wa Mataifa ya Mtandao wa Santiago (UN Santiago Network on Loss and Damage).
Gideon si mwanadiplomasia wala mtumishi wa umma. Yeye anatoka kwenye jumuiya za kiraia. Ushiriki wa jumuiya za kiraia ni muhimu na huchangia sana katika mafanikio ya diplomasia yetu. Amenielimisha mengi kuhusu fursa zilizopo katika eneo hili. Tunahitaji akina Gideon wengi katika kuleta matokeo makubwa kwenye diplomasia yetu.
@TanganyikaLaw ni Jumuiya ya kitaalam yenye madhumuni ya kuboresha taaluma ya Uwakili inayofuata yale yaliyosemwa na Martin Luther King Jnr mwaka 1963 "injustice anywhere is injustice everywhere"
Popote penye uvunjifu wa haki TLS inatakiwa ihusike na kupinga na kuondoa dhulma.
Kuna mwandishi aliuliza, Je TLS ya sasa imepooza tofauti na miaka ya nyuma, wewe una maoni gani?
Jibu: TLS haijapooza; ni Jumuiya ya kitaalam. Kuna watu wanadhania kuwa TLS ni sehemu ya serikali; na wengine wanadhania kuwa ni wanaharakati. Wote wanakosea. 1/2
Hili litawafanya wajifunze uendeshaji kesi Mahakama ya Rufaa, kutumia ofisi bila kuingia gharama za kuendesha ofisi. Mengineyo yapo kwenye manifesto yangu.
Kwa mfano kupunguza kiwango cha Ada ya kila mwaka; kuibadilisha Ada iwe ya miaka 3. Tunacholipa hivi sasa kama Ada ya mwaka itakuwa Ada ya miaka 3; kuwafanya mawakili wapya ambao hawajatimiza miaka 5 wawe chini ya ofisi za mawakili waandamizi.
Mgombea urais anatakiwa awaeleze mawakili ataliambia nini Baraza la Uongozi.
Hivyo basi uchaguzi wa wajumbe wote wa Baraza la Uongozi ndiyo utafanikisha yale mazuri yaliyomo kwenye Sheria ya TLS.Kuna mambo ambayo yatahitaji kurekebishwa na mengine ni kurekebisha au kutunga Kanuni