ANAANDIKA Afande Sele, Zamani watu walikua wanaogopa sana kusema Uwongo..❌️
Siku hizi watu wanaogopa sana kusema Ukweli..✔️
Ajabu ya Aibu🙄
Each one Teach✍️
I Change Nation🌏
Sina Hatia..⚖️
VIDEO:
"Yataisha"
Ni maneno ya Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Tundu Lissu @TunduALissu akiwaambia wafuasi wake waliokuwa mahakamani mara baada ya Shauri la Marejeo lilofunguliwa na DPP dhidi yake kuahirishwa.
Akizungumza katika namna ya utani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA @godbless_lema alipomtania juu ya kunenepa Lissu alimjibu 'kama walitaka nikonde watafute utaratibu mwingine'
Tz mapolice wote na wanajeshi ni maccm wala rushwa wauwa watu wafira watu
Yani ni bora wakoloni wazungu kuliko wakoloni weusi maccm
Ila imegundulika rasmi kwamba ccm ni kikundi cha magaidi wameiuza nchi kwa waarabu na wachina subiri soon mtaona YAKIDHIHIRIKA WAZI
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Taifa, Dkt. Rugemeleza Nshala hii leo Julai 03, 2026 akizungumza na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam amesema Tundu Lissu ameweka pingamizi zito na ameitaka ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini hapo kumlipa fidia.
Ulikuwa mbele ya wakati na sasa Gen Z wenzako wanakuelewa ingawa hauko uraiani kushuhudia!
Dhambi ya kukuteka inawatafuna hawa waovu ingawa imetuachia makovu mioyoni mwetu!
Aluta continua! Wewe ni SHUJAA - always in our hearts ❤️
#FreeDeusdedithSoka
Afande Sele ameongea vizuri hata mtoto mdogo anamwelewa! Ila haya mafedhuli hawataki suluhisho ya kweli wanataka wabaki tu madarakani!
Wataendelea kutukandamiza wakiweza milele! Na haki itazidi kuwa mbaya!
Kuandamana ni haki ya kikatiba tusitishiane!
#77Tunatoka#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Kuzuia maandamano ni kukiuka
katiba 👊🏽🔥
Wanaotoa matamko ya kuzuia maandamano wahojiwe na polisi kwa nini wanatishia raia wasitumie haki yao kikatiba!
Bado siku 6‼️#Sabasaba loading
#77Tunatoka#SamiaMustGo
Rais wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika TLS Wakili Boniface Mwabukusi amesisitiza kuwa Tanzania ni Nchi ya kidemokrasia na inayoongozwa kwa misingi ya Katiba na sheria, akisema mamlaka ama maamuzi yoyote yanayofanywa lazima yaegemee kwenye mambo hayo, akimkumbusha Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Patrobas Katambi kuwa Jeshi la Polisi si idara ndani ya Wizara hiyo, bali Jeshi la Polisi ni kamili kisheria kwa namna linavyojiendesha na kiuwajibika.
"Alichokifanya Waziri ni makosa na hata agizo lake la jana Bungeni linagusa mantiki ya Kikatiba kwani Katiba inatambua kwanza haki ya kutoa maoni, haki ya kukusanyika na inatambua haki ya wananchi kupata taarifa kwahiyo anapokuja mtu na taarifa mbadala au ukosoaji kwamba hili sio, hili jambo sio uadui wala taharuki kwani jambo hilo linalindwa Kikatiba." Amesema Wakili Mwabukusi.
Mwabukusi ametoa kauli hiyo siku moja baada ya Waziri Katambi kutoa maagizo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Camilius Wambura, akimtaka kusitisha utoaji wa vibali vya mikutano ya hadhara kote Nchini kutokana na matishio kadhaa ya usalama yanayoendelea.
Mwabukusi amesisitiza kuwa uhuru wa kutoa maoni, kukusanyika ama kushiriki kwenye shughuli za kisiasa ni haki ya Kikatiba na si hisani ya kiongozi wa Chama ama wa serikali, akisema ikiwa kweli Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa inafanya kazi yake ilikuwa ni wakati muhimu wa kujitokeza kukemea na kutengua kauli ya Waziri Katambi ya kusimamisha mikutano ya hadhara.
Amezungumzia pia dhana ya kuona maandamano kama uhalifu, Wakili huyo akisema hata wananchi wakitaka kuandamana kwa miezi mitatu mfululizo ni haki ya Kikatiba na si pia uvunjaji wa amani kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakitaka kuaminisha wananchi wa Tanzania.
"Kuna jambo jingine ambalo Waziri amejielekeza vibaya, kulingana na sheria yeye hana mamlaka ya kumuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, anachoweza kufanya ni kushauri ama kumshauri IGP pale anapoona kuna jambo halipo sawa ili Polisi wajiridhishe, sio kusimama bungeni na kuelekeza kama Rais. Mtu pekee anayeweza kuvielekeza vyombo vya ulinzi na usalama ni Rais pekee vinginevyo polisi wanajisimamia kwa sheria na muundo wake, Wizara imehusiana nao kwasababu ya bajeti na sera ila si kwamba IGP yupo chini ya Waziri kwani IGP haapi wala kumtii Waziri."
Mwabukusi ameongeza kusema kuwa;
"Sasa ni wajibu wa IGP kulilinda Jeshi lake na kulinda heshima yake, aone hasira waliyonayo wananchi na si polisi wote ni wabaya lakini baadhi ya matendo haya hasa pale CCM inapobanwa kisiasa inakimbilia Polisi halafu inawatanguliza Polisi sasa hii si nzuri, Polisi wakatae, wamwambie Katambi kuwa ujuzi uleule wa ushindi wa asilimia 98 basi waache hofu waje wazungumze na wananchi." Amesema.