1 Timotheo 4
12 Mtu awaye yote asiudharau ujana wako, bali uwe kielelezo kwao waaminio, katika usemi na mwenendo, na katika upendo na imani na usafi.
Morng my family โคโค
FARAS TWITTER (X) INVITE CHALLENGE!๐ค
Washawishi marafiki wa-follow akaunti ya @farastanzania na uweze kujishindia hadi 100,000/=
JINSI YA KUSHINDA
1. Watumie marafiki akaunti ya @farastanzania kisha wai-follow.
2. Rafiki uliemtumia andike kwenye comment kwenye post hii na Kutag jina lako. Mfano: Nimekaribishwa na @officialbabalevo
3. Akaunti itayotajwa zaidi kwenye comment ndio itakayokuwa mshindi!
VIGEZO:
1. Marafiki utaowakaribisha wawe wapya na sio ambao tayari wamekwisha follow page ya @farastanzania
2: Marafiki utaowakaribisha ni lazima wakutaje kwa kuandika username yako kwenye comment.
Mwisho wa shindano hili ni Tarehe: 30/04/2024
๐๐๐ ๐ ๐ช๐๐ช๐ ๐ก๐ ๐ ๐๐๐ก๐ ๐๐จ๐ ๐จ ๐ ๐ฆ๐ข๐ ๐ ๐๐จ๐จ ๐จ๐ญ๐ ๐๐๐ฎ๐ธ๐๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ๐ฎ๐
Huu ni mtandao ambao upo na utofauti na mitandao mingine tulioizoea kama facebook na instagram, utofauti kuanzia kujiunga, muonekano, matumizi na watu wake waliopo humu
SHUKA NAYO๐
KWENYE HAYA MAMBO CHIMBO NI MOJA TU.๐ฅ๐ฅ
#Vodacom Tanzania wamekuletea huduma ya #internet kwa matumizi ya nyumbani au ofisini kwa gharama nafuu.
Utapatiwa #Unlimited bando kila mwezi na #5G Router utapatiwa bure kabisa popote ulipo.
Kwa Msaada zaidi Piga Simuโ๏ธ: 0742261160
PLAYERS THAT FLOPPED AFTER MEGA MONEY TRANSFER AND HIGH EXPECTATIONS SINCE 2015
#Thread
1. Eden Hazard
Alikuwa moja ya wachezaji hatari katika ligi kuu ya Uingereza akiwa na kikosi cha Chelsea kabla ya kutimmkia viunga vya Madrid kwa dau linalofikia Euro 142.
Hakuwa na bahati alipojiunga na Mabingwa hao wa kihistoria wa Ulaya baada ya kupata majeruhi na kumuweka nje kwa muda mrefu sana.